Assalaamu 'Alaykum WarahmatuLlaahi Wabaraakatuh
Mwenyeezi Mungu Mtukufu anasema: “Na kheri yoyote mnayoitanguliza kwa ajili ya nafsi zenu, Mtaikuta kwa Mwenyeezi Mungu imekua bora zaidi na ina thawabu kubwa zaidi”. Al-Muzzammil 20.
Ndugu yangu katika imani, nakuomba uchangie utakachojaaliwa ili tuchimbe kisima cha Msikiti wa Magomeni Unguja, ambacho kinahitaji shilingi milioni sita. Waislamu wenzetu wanapata taabu ya maji ya kupata fardhi ya Udhu pamoja na mahitajio mengine.
Kwa waliopo UK, Tafadhali changia ndani ya NatWest Bank, Name: SAID AM, Account: 89080319, Sort code: 60-17-21
Au unaweza kuwasiliana na Msimamizi wa Msikiti huo ni Sheikh Sulaiman bin Daud +255 777 460056 kwa maelezo na maelekezo ya kuchangia kwa wengine.
Iwapo tutashirikiana sote na kila mtu akatoa, basi pesa hizo zitapatikana na kisima kitachimbwa, Bi'ithni Llaah.
Tafadhali jitahidi uhakikishe kuwa na wewe ndugu yangu katika uislamu na katika imani, unashiriki katika kuchangia kheri hii na wala usiionee tabu pesa yako kuitoa kwa ajili ya Mwenyeezi Mungu, na kila ukitoa kingi na Mwenyeezi Mungu atakulipa kingi zaidi na atakuepushia mabalaa duniani na akhera.
“Mfano wa wale wanaotoa mali zao katika njia ya Mweneezi Mungu, ni kama mfano wa punje moja iliyotoa mashuke saba, na katika kila shuke pana punje mia, na Mwenyeezi Mungu humzidishia amtakae (zaidi kuliko hivi), na Mweyeezi Mungu ni mwenye wasaa mkubwa na ni mweye kujua”. Al-baqrah 261.

No comments:
Post a Comment