Habari za Punde

Uvuvi katika bandari ndogo ya Mavua, Shehia ya Mzuri, Makunduchi

Wavuvi wakipandisha ngalawa baada ya kutoka kwenye uvuvi. Bandari hii vyombo vyake vyote hupandishwa juu baada ya mavuvi

2 comments:

  1. Kwanini wanavipandisha juu vyombo?

    ReplyDelete
  2. Si unaona hapana fukwe za kuegesha ni majabali tu
    na wakiviacha majini na hatari kwao kwani vinweza kupigwa na mawimbi wakati wa maji kujaa na kuharibika.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.