Mradi wa Taa za Solar katika barabara za Mji wa Zanzibar zikiendelea kuwekwa katika barabara hizo, kama inavyoonekana katika barabara ya Michenzani kwenda kwa Khamis Machungwa zikiwa tayari nguzo zake zimekwisha wekwa zikisubiri kukamilika na kutowa huduma kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Taasisi husika itabidi kuchukuwa jitihada za makusudi kusimamia mradi huo utakapokamilika na kuzifanyia matengenezo kwa wakati zisije zikatushinda katikati itakuwa ni hasara kwa Taifa kutokana na jitihada zake kufanikisha mradi huo kufanyika kwa wakati muafaka na kutowa huduma hiyo kwa Walengwa na kuuweka mji wa Zanzibar katika mandhari nzuri wakati wa usiku ukiwa na mapambo ya Taa hizo.
Hongera Mapara kwa kutuhabarisha. Jua tunalo si haba bora matunzo tu.
ReplyDeleteNa hizo bustani nazo zitizamike
ReplyDeleteI wish tungepata picha ya namna zinavyongara nyakati za usiku
ReplyDeleteIdea ya kuweka taa kama hizi inawezekana mji mzima kwa Zanzibar , sijui kwanini tu tumechelewa saaana. Si katika barabar tu hadi katika maeneoe nyetu ya mjini inafaa ziwekwe taa kama hizi in case umeme wetu ambao wa "kuazima" unapokuwa na taabu.
ReplyDeleteMaeneo kama mahospitali, boarding school n.k yafaa saana zikawekwa hizi taa.
Hofu yangu zitadumuuu??
Boss Mapara naomba utufamishe huu ni mradi gani sisi tulioko huku nje. Isije kuwa ule mradi wa Alyousuf wa kungarisha mji haukuishia popote, huu anadhamini nani mara hii??
ReplyDeleteMambo mengi madogo madogo hama haya Zanzibar yanawezekana, ila t sijui ya rabbi tumekubwa na nini. Inasikitisha kuona mpaka sasa maeneo mengi hayana taa zabarabarani wakati uwezekano upo!!
ReplyDeleteNaomba wahusika mtueleze huu mradi utafika maeneo gani au ni hapo Michenzani tuu.
Tunakushkuru bwana Mapara kwa kutupa habari motomoto hasa sisi tulioko nje ya zenjy, naomba utuwekee picha za eneo la botanic garden ambapo nasikia sasa panajengwa, eneo njeti ambalo halipaswi kujengwa.
ReplyDeleteBig up Mapara
Nilichokiona ni fikra za Busara kuanzisha huo mradi na zaidi nimevutiwa piwa na jinsi walivyo weza kupanda hiyo miti inasikitisha kuona usimamizi wa upndaji miti zanzibar ni mbovu lakini kwa sie baadhi yetu tuobahatika kuona Baadhi ya Nchi za Ulaya jinsi wezetu nchi zao zinavyovutia kwa miti hasa siku za summer mtu unatokwa na machozi na kukumbuka ule msemo waliokuwa wakituambia wazee wetu kwenye miti hakuna wajenzi rutba tumebarikiwa nategemea tutajifunza na muonekano wa hapo michezani
ReplyDeleteFrom Taabuuk