Habari za Punde

Waswahili bwana wana mambo kweli kweli! Mahakama ya nywele...

Kweli duniani kuna mambo na walimwengu wana majambo. Msemo huu unathibitishwa na msanii fulani mmiliki wa sehemu hii katika picha ambayo inapatikana huko Paje inayojulikana "Mahakama ya Nywele" Hili nilishuhudia mwenyewe mchana kweupe nywele zikihukumiwa kwa mikasi na viwembe na kunyimwa uhai!.

Sehemu hii ya kinyozi inapatikana Paje "Barber Shop"

Picha na Sabry Juma wa
Zanzibar Car Hire Limited.P.o.Box 3552
Shangani,Kenyatta Road,Stone Town
Zanzibar Tanzania East Africa
Skype:zanzibarcarhire

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.