Shehena ya Kwanza ya Vingamuzi vya Tume ya Utangazi Zanzibar ZBC , vikiwasilili katika Kituo cha Digital Rahaleo tayari kwa kuuzwa kwa Wananchi kwa Bei ya 50,000/= ukijumlisha na pesa ya mwezi shilingi 8000/= na shilingi 15000/=za kusajiliwa.
Vingamuzi vimewasili kwa ajili ya kusambazwa kwa Wananchi kujiunga na Digital.
No comments:
Post a Comment