Habari za Punde

Ziara ya Dk Shein Mkoa wa Kusini Unguja

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na viongozi wakati alipowasili katika bonde la Mpunga la Muyuni Wilaya ya Kusini Unguja,kuangalia
athari za kilimo cha Mpunga,akiwa katika ziara Mkoa wa Kusini Unguja
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Maliasili wakati alipowasili katika bonde la Mpunga la Muyuni Wilaya ya Kusini Unguja,kuangalia athari za kilimo cha Mpunga,akiwa katika ziara Mkoa Kusini Unguja
 Msoma risala ya wananchi na wakulima wa Bonde la Mpunga
Muyuni Marium Mwinyi,mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipofika katika shehia hiyo
kuangalia athari za mpunga uliopata matatizo ya kuungua na jua
kali,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja jana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea risala ya wananchi na Wakulima wa Muyuni,kutoka wa Marium Mwinyi, alipofika katika shehia hiyo
kuangalia athari za mpunga uliopata matatizo ya kuungua na jua kali,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja jana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi na Wakulima wa Muyuni,alipofika katika shehia hiyo kuangalia athari za Kilimo cha
Mpunga uliopata matatizo ya kuungua na jua kali,akiwa katika ziara yaMkoa wa Kusini Unguja jana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na wanavikundi vya ushirika wa Jumuiya ya Tuishi Jambiani Mbuyuni Shehia ya
Kibigija,alipofika kuangalia maendeleo ya Ujenzi wa Jengo hilo jana, akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja jana
Mbunge wa Jimbo la Muyuni CCM,pia Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatifa Mahadhi Juma Maalim,alipokuwa akitoa tamko la mchango wake wa Shilingi Millioni mbili za Kitanzania,wakati wa Harambee ya kukamilisha Ujenzi wa jengo la Jumuiya ya Tuishi Jambiani Mbuyuni Shehia ya Kibigija, katika ziara ya Rais , Mkoa wa Kusini Unguja jana.

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia mkono wanavikundi vya ushirika wa Jumuiya ya Tuishi Jambiani Mbuyuni Shehia ya Kibigija, waliomkaribisha kwa maandamano alipofika kukagua ujenzi wa Jengo la jumuiya hiyo,akiwa
katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja jana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipanda mche wa mnazi mbele ya jengo la Jumuiya ya Tuishi la vikundi vya ushirika vya Akina mama wa Jambiani Mbuyuni Shehia ya Kibigija, alipofika kukagua ujenzi wa Jengo la jumuiya hiyo,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja jana.
Kikundi cha mazoezi halazimishwimtu cha Jambiani Kibigija wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na wanavikundi vya ushirika wa Jumuiya ya Tuishi Jambiani Mbuyuni Shehia ya Kibigija,alipofika kuangalia maendeleo ya Ujenzi wa Jengo hilo jana, akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja jana
 
Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.