Habari za Punde

Ajali ya Gari la Mizigo Mikunguni jioni hii.


 Wananchi wakiangalia lori aina ya Scania likiwa limefunga njia ya kutokea saateni baada ya kupata ajali leo.
Lori la kubebea makontena Bandari likiwa limepata ajali katika kilima cha mikunguni baada ya kufeli kupandisha mlima huu majira ya jioni hii na kusababisha kurudi nyuma na mzigo huu kuanguka kando ya barabara hiyi. katika ajali hiyo hakuna mtu aliyefariki au kujeruhiwa. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.