Wananchi wakiangalia gari ya mizigo ikiwa imepata ajali katika barabara ya Mkapa Mtoni, ikiwa katika kazi zake za kawaida ikielekea kuchukuwa mchanga nje ya mji wa Zanzibar.
.
Kwa habari za mashuhuda walioshuhudia ajali hiyo wamesema gari hiyo ilifeli breki na mbele yao kulikuwa na magari yakisubiri kupita, kutoka na hali hiyo dereva ilibidi kunusuru maafa makubwa ilibidi kuingia upande wa watu wanaotembea kwa miguu, katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa.
Shkuran sana
ReplyDeleteHapo ni nyumbani kwetu mtoni, eneo letu linaongoza kwa ajali kwa sababu kuna cross mbili, eneo karibia shamba la kuku na eneo la kona kutoka mazrui kuingia jeshini ni maeneo ambayo hara sana na kila muda ajali, njii hii ya bububu inaongoza kwa ajali kwanza ni nyemba pili waendesha magari kama dala dala na maari ya mchanga wanatembea mwendo wa kasi sana, vijana wetu wengi wamesha uwawa kwa kugongwa na gari hapo mtoni.
Tunaomba serikali ifanye utaratibu wa kutuwekea matuta njia yote au zebra atu trafic lite tupate kuvuka kwa usalama.
Njia hii iko karibu na wakazi,yani membezoni kuna majumba ya wakazi kasi ambacho kuvuka mara kwa mara, nji hii sio ya kutembea speek zaidi 50, lakini madereza wanatembea speed 80 na kuendelea.