Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali katika Ofisi ya Rais Fedha na Uchumi na Mipango ya Maendeleo , wakiwa katika mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika Utekelezaji wa Kazi za Ofisi hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika Utekelezaji wa Kazi za Ofisi hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Fedha Uchumi na Mipango ya Mendeleo) Juma Ameir Hafidh, (kushoto) akiwa na Watendaji na Maafisa katika Mkutano wa Utekelezaji wa Kazi za Ofisi hiyo, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) leo jioni,katika Ukumbi wa mikutano wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Uongozi Ofisi ya Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo, katika utekelezaji wa kazi za Ofisi hiyo, katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni, ,(kulia) Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment