Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Pandu Ameir Kificho akifuatilia michango ya Wajumbe wakiwasilisha katika kikao hicho.
Mwakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe akichangia katika mkutano wa baraza la wawakilishi kuchangia miswada iliowakilishwa katika kikao hicho
Waheshimiwa Mawaziri wakifuatilia michango ya Wajumbe wakichangia Miswada iliowakilishwa katika Mkutano huo.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia michango ya Wajumbe wakiwasilisha katika Mkutano huo.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho, akitoka katika Ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirishwa kwa mkutano huo jana.
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi kushoto Waziri wa Kazi Uwezeshaji Kiuchumi, Haroun Ali Suleiman (CCM) na Nassor Salim Ali Jazira(CCM) wakitoka katika ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirishwa kwa mapumziko na Sala ya Ijumaa,wakifurahia jambo
Waziri wa Uvuvi na Mifugo na Mwakilishi wa Magogoni (CUF Jihad Abdilah, akimsikiliza Naibu Waziri wa wizara hiyo, nje ya ukumbi wa baraza wakijadili jambo.
Mwakilishi wa Jimbo la Wete Asaa Othman (CUF) akizungumza na Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jussa, katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi jana baada ya kuahirishwa kikao cha asubuhi. 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifungo na Uvuvi Dk Kassim kushoto akifafanua jambo alipokuwa akizungumza na Mwakilishi wa Kikwajuni Mahmoud Mohammed Mussa, (CCM) nje ya ukumbi wa Baraza.
No comments:
Post a Comment