Habari za Punde

Mjasiriamali Katika Mizunguko ya Kutafuta Wateja Mitaani.

Mjasiriamali wa biashara ndogondogo, akiwa katika mizunguko ya kutafuta wateja wa bidhaa hiyo katika mitaa ya kihinani akiwa na bidha hizo, wajasiriamali wanahitaji kupatiwa msaada wa utekelezaji wa biashara hzo ili kuweka kuwa wafanyabiashara endelevu na kujiongezea kipato chake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.