Habari za Punde

Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM akabidhi zawadi kwa Balozi Seif na Mhe Pinda


Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Saleh Said Abdulla akimpatia Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi Balozi Seif Ali Iddi na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda zawadi za Jahazi mbili alizowaahidi wakati wa Mkutano Mkuu Maalum wa Chama hicho mwaka uliopita.
Zawadi hizo za Nd. Saleh ni ishara ya Kumbu kumbu ya Kihistoria ya Visiwa vya Zanzibar wakati vikisafirisha bidhaa ya Karafuu kupeleka katikia masoko ya Nchi za Nje kwa kutumia usafiri wa jahazi.
Picha na Hassan Issa wa -OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.