Habari za Punde

Viongozi wa ZFA Taifa na Wilaya

Mdau hawa ni Viongozi wa Chama cha Mpira Zanzibar ZFA , kutoka ngazi ya Taifa hadi ya Wilaya wakifuatilia michezo ya Ligi Kuu ya Zanzibar, kuona jinsi ya kiwango cha mpira Zanzibar Viongozi wa ZFA wanavyofuatilia michezo hiyo kuona ufanisi wake katika viwanja mbalimbali Zanzibar kuinua Kiwango chake.

Viongozi wanapotembelea katika viwanja vya mpira hutowa mori kwa Vilabu kuona jinsi Viongozi wa ZFA wanavyofuatilia na kupata moyo kuindeleza Zanzibar katika. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.