Habari za Punde

WARATIBU WA MIKOA WAKITATHMI​NI MCHAKATO WA UCHAGUZI WA WAJUMBE WA MABARAZA YA KATIBA YA WILAYA

 Mratibu wa Mkoa wa Pwani katika Mchakato wa Upatikanaji wa Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya Mohammed Magati, akizungumza katika kikao cha tathimini  baina yao na Wajumbe wa Sekretieti ya Tume ya Katiba Tanzania katika Ofiti za Tuma Dar-es-Salaam.
 Mratibu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Kumwenda, akichagia katika kikao cha kutathimini baina yao na Wajumbe wa Sektirieti ya Tume ya Katiba Tamzania.kilichofanyika katika Ofisi za Tume Dar-es-Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.