Habari za Punde

Balozi wa UAE atembelea Hospitali kuu ya Mnazimmoja


Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu Nchini Tanzania Abdulla Ibrahim AL-Suwaidi, wakatikati akiwa na mwenyeji wake Waziri wa Afya kulia ni Katibu wa Waziri wa Afya Bi Zainab Khamis wakitembelea maeneo mbalimbali ya Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.