Habari za Punde

Michezo ni Afya, Timu ya PBZ imeshindwa kulipiza Kisasi na Kuambulia Kufungwa tena 2-1


 

Beki wa Timu ya Wafanyabiashara Zanzibar akimkata mtama mshambuliaji wa timu ya PBZ Jaha King, akijianda kulata masha mashambuliao golini kwa timu hiyo, katika mchezo wa kirafii uliofanyika katika uwanja wa Amaan, timu ya Wafanyabiashara imeshinda kwa  mabao 2-1.
Wachezaji wa timu ya Wafanyabiashara Zanzibar na PBZ wakiwania mpira katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika uwanja wa Amaan.
Kiongozi wa timu ya PBZ akitowa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mapiumziko jinsi ya kulipiza kisasi kwa timu hiyo mechi iliopita imefungwa  mabao 5-1, katika uwanja huo.





Chukua hiyo ndivyo inavyooneka mshambuliaji wa timu ya PBZ akiteta baada ya kumpiga chenga beki wa timu ya Wafanyabiashara kushoto.




Hapa hapiti mtu ndivyo inavyoonekana akiteta beki wa timu ya Wafanyabiashara kulia huku mchezaji wa PBZ , akijiandaa kuzuia mpira katika mchezo huo.

1 comment:

  1. what does mean kuweka picha bila maelezo yeyote

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.