Hii ndio boti mpya ya Kilimanjaro 4. Inategemewa kufika hapa mwishoni wa mwezi huu wa tano au mwanzoni mwa mwezi wa sita.
Inauwezo wa kubeba abiria 700 na kutumia muda wa dakika 70 kwa safari moja ya kwenda Zanzibar au Dar Es Salaam.
Ni boti mpya kabisa katika muendelezo wa boti za Kilimanjaro.
Boti hii itakidhi kiu ya wasafiri wa eneo hili kwa kuwa itakuwa na sifa zote, ambazo ni Usalama, Kasi zaidi, na unadhifu.
No comments:
Post a Comment