Pichani ni sehemu ya misumeno ya moto ( Chainsaw) iliyoteketezwa leo hii na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad.
Misumeno hii hutumika katika kuharibu mazingira kwa kuhusika na ukataji miti ovyo na tayari kunaandaliwa sheria maalum kuhusiana na misumeno hii na matumizi yake.
Picha na mdau wa facebook
haisaidii kuharibu hizo machine , tatizo na kuwaelimisha watu na waelewe, mashine si watanunua tena? au mie sijui?
ReplyDeleteHuyu mzee watu hatujui yukoje kifkira wizara yamazingira sianayo apige marufuku kuingizwa misumeno na bizaa chakavu au kwa kuwa zinaleta najamaa zake na unguja ni jaa lao wafanye watakavyo
ReplyDelete