Habari za Punde

Mkutano wa Kamati ya Uchunguzi wa Hesabu za Serekali Zanzibar PAC na Wadau wake.

 Mwenyekiti wa Kamati ya kuchunguza Hesabu za Serekali (P.A.C) Omar Ali Shehe akizungumza na wadau mbalimbali wakiwemo wandishi wa habari kwa lengo la kupata mashirikino na ufanisi katika utendaji wa kazi zao.Mkutano huo umefanyika katika ukumbi mdogo wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.
 Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Ibrahim Mzee Ibrahim akichangia katika kikao cha Wadau mbalimbali wakiwemo wandishi wa habari wa vyombo tofauti kwa lengo la kupata mashirikino na ufanisi katika utendaji wa kazi zao, (kulia) Mhasibu Mkuu wa Serekali Omar Hassan, huko Baraza la Wawakilishi Mbweni.
Mwandishi wa habari wa Idara ya Maelezo Zanzibar Salum Vuai, akitoa mchango wake kuhusu majukumu ya kamati ya kuchunguza hesabu za Serekali. Kikao hicho kilifanyika Baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.


2 comments:

  1. Ofisi hii ya mkaguzi wa serekili itafanyakazi kw ukweli na uwazi? sekta zote na idara zote za smz, zimeoza kwa rusha na wizi wamejibinapsisha wizara, ugoigoi,uzembe,ubazirifu,na ubinapsi vimezidi hapa ,
    zanzibar ,naomba tume yamaadi iwepo

    ReplyDelete
  2. Wadau wawili wanaoonekana ktk picha ya katikanti, wantoa taswira halisi ya mjenga nchi na mla nchi!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.