RAIS SAMIA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMBUKIZI YA HAYATI BABA WA TAIFA
MWALIMU JULIUS NYERERE
-
PICHA ZA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu
Hassan leo October 14,2024 ameshiriki ibada...
4 hours ago
kikwete acha siasa , wape wananchi wa mtwara kiwanda cha gesi , halafu iwe inasafirishwa kwa magari mikoani mwote inakohitajika au kama itauzwa nje , kuna bandari ya mtwara hapo inaweza kutumika , kwani kila kitu lazima darisalama? heh ! kichwa ngumu washauri wako rais hebu wape likizo utuajiri sisi walalahoi tukushauri yaliyo mema kwako na wananchi na yatayokufaa utapokutana na Mola wako.
ReplyDeletekama tatizo kiwanda cha gesi wawae nabusara hakuna haki inayo daiwa kwa kufanya zuluma,sasakama wanadai kiwanda che gesi kwanini wachome nyumba zawatu? kama kuna jambo waseme hao wanowashawishi likitota huruka na ndege nyie mkabaki kuu wana
ReplyDeletend kikwete hakika damu inayomwagwa na dhuluma zinazofanyika huko mtwara zitakufuata hata ukiingia kaburini, na roho za watu waliouawa na jeshi lako , hazitokusamehe hata udhikiri uchi , usisahau yaliomfika firauni , wewe na utawala wako wote hauwezi kumfikia hata kidogo uwezo aliokuwa nao firauni , alijisahau akifikiri ataishi maisha , nakukumbusha na wewe usifikiri hutofika kwa Mungu, baba yako Nyerere yupo huko mpigie simu umuulize vipi hali huko
ReplyDelete