Habari za Punde

Mti wa Mvule wa Historia katika Mji Mkongwe Zenj .......

 Mmoja wa Miti ya Historia katika mji wa Zanzibar ukiwemo huu na ule ulioko katika maeneo ya Mji Mkongwe Forodhani ikipendezesha mji wa Zanzibar kwa Watalii wanaotembela maeneo ya historia ya Zanzibar na kujionea kumbukumbu ya Zanzibar Ukiwa katika mazingira mazuri.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.