Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Ali Abdalla Ali , akihutubia wakati wa Ufungaji wa Maonesho ya Mei Mosi yaliofanyika katika viwanja vya Amani nje 
Naibu Spika Ali Abdalla Ali, akimkabodhi Ngao ya Ushindi wa Kwanza wa Maonesho ya Mei Mosi kwa mwaka huu ni Kiwanda cha Soda cha Coca cola Zanzibar Fatma Rashid ,akipokea zawadi hiyo. 
Naibu Spika Ali Abdalla Ali, akimkabodhi Ngao ya Ushindi Mshindi wa Pili wa Maonesho ya Mei Mosi Chuo cha Afya Mbweni Mwalim Salum Ali
No comments:
Post a Comment