UIMARISHAJI wa miundombinu ya barabara katika maeneo ya mjini imechangia kupunguza msongamano wa magari na kupunguza ajali za mara kwa mara, kama inavyoonekana pichani barabara ya kwa mchina ikifanyiwa matengenezo makubwa ya kuweka kiplefti baina ya barabara ya kwamchina na inayotokea Jangombe.ili kuimarisha njia hiyo, imekuwa na watumiaji wengi kutokana na mji kuwa mkubwa na ujenzi kuendelea nje ya mji.
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Mahonda Kwa Tiketi ya CCM Mhe. Mboja Ramadhani
Amechukua Fomu ya Uteuzi Uwakilishi
-
Afisa Uchaguzi Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Mwanamkuu Gharib Mgeni akimkabidhi
fomu ya uteuzi Mgombea wa nafasi ya Uwakilishi Jimbo la Mahonda kupitia
Chama...
39 minutes ago
Ni jambo jema, ila SMZ ifikirie pia kuweka mitaro pembezoni mwa barabara hizo.
ReplyDeleteHilis sijambo jema karine ya 21 bado barabara tunazo jenga,hazina viwango,mitaro ya kupita maji yamvua na majitaka. Tunajisifu tuna imarisha miundo mbinu huu ni wehu wa kufikiri ? au uvivu wakufikiri?
ReplyDelete