Habari za Punde

Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara ya Mpendae Kwamchina.

UIMARISHAJI  wa miundombinu ya barabara katika maeneo ya mjini imechangia kupunguza msongamano wa magari na kupunguza ajali za mara kwa mara, kama inavyoonekana pichani barabara ya kwa mchina ikifanyiwa matengenezo makubwa ya kuweka kiplefti baina ya barabara ya kwamchina na inayotokea Jangombe.ili kuimarisha njia hiyo, imekuwa na watumiaji wengi kutokana na mji kuwa mkubwa  na ujenzi kuendelea nje ya mji.

2 comments:

  1. Ni jambo jema, ila SMZ ifikirie pia kuweka mitaro pembezoni mwa barabara hizo.

    ReplyDelete
  2. Hilis sijambo jema karine ya 21 bado barabara tunazo jenga,hazina viwango,mitaro ya kupita maji yamvua na majitaka. Tunajisifu tuna imarisha miundo mbinu huu ni wehu wa kufikiri ? au uvivu wakufikiri?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.