Habari za Punde

Washindi wa Promosheni ya Kwangua Kadi na Ushinde na Zantel.

Mkurugenzi Biashara wa Zantel Zanzibar Mohammed Khamis Baucha akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, kuhusiana na Promosheni ya Zantel kwa ajili ya Wateja wa Zanztel walioko Unguja na Pemba, ilioaza mwanzoni mwa mwezi huu kwa kukwangua Kadi kwa ajili ya matumizi ya mteja.Katika Promosheni hiyo ya wiki ya tatu jumla ya Washindi saba wamepatikana na mmoja kutoka Pemba na kupata zawadi ya Mordem ya 3G kwa ajili ya Mtandao.Makabidhiano ya zawadi hizo yamefanyika katika Ofisi za ZANTEL Mlandege Jumba la Muzamil.
Mkurugenzi Masoko wa Zantel Zanzibar Mohammed Khamis Baucha akimkabidhi zawadi yake mshindi wa wiki hii Khamis Ali Shehe, Mkaazi wa Tunguu Unguja kwa kujishindia Mordem ya 3G,kwa kukwagua kadi ya shilingi 5000 na kuwa mshindi wa promosheni hiyo Kwagua na Ushinde.
Mkurugenzi Masoko wa Zantel Zanzibar Mohammed Khamis Baucha akimkabidhi zawadi yake mshindi wa wiki hii,Mohammed Juma Mohammed, Mkaazi wa Kilimani Unguja kwa kujishindia Mordem ya 3G,kwa kukwagua kadi ya shilingi 1000 na kuwa mshindi wa promosheni hiyo Kwagua na Ushinde
Mkurugenzi Masoko wa Zantel Zanzibar Mohammed Khamis Baucha akimkabidhi zawadi yake mshindi wa wiki hii,Kiwagizo Sadik Mgweno,Mkaazi wa Fuoni Unguja kwa kujishindia Modem ya 3G,kwa kukwagua kadi ya shilingi 1000 na kuwa mshindi wa promosheni hiyo Kwagua na Ushinde
Mkurugenzi Masoko wa Zantel Zanzibar Mohammed Khamis Baucha akimkabidhi zawadi yake mshindi wa wiki hii,Mbaruok Saleh Kombo,Mkaazi wa Unguja kwa kujishindia Modem ya 3G,kwa kukwagua kadi ya shilingi 1000 na kuwa mshindi wa promosheni hiyo Kwagua na Ushinde
Mkurugenzi Masoko wa Zantel Zanzibar Mohammed Khamis Baucha akimkabidhi zawadi yake mshindi wa wiki hii,Sheha Ali Khamis.Mkaazi wa Unguja kwa kujishindia Mordem ya 3G,kwa kukwagua kadi ya shilingi 1000 na kuwa mshindi wa promosheni hiyo Kwagua na Ushinde




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.