Mshambuliaji wa timu ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, akimtoka beki wa timu ya Shirika la Umeme Zanzibar ZECO, katika mchezo wa Michuano ya Kombe la Mazingira Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Uvuvi imeshinda 3-2.
Mchezaji wa timu ya Shirika la Umeme Zanzibar ZECO, akimtoka beki wa timu ya Uvuvi katika mchezo wa Kombe la Mazingira zinazofanyika uwanja wa Mao,
Mchezaji wa timu ya Uvuvi akijiandaa kumpiga chenga beki wa timu ya ZECO, katika mchezo wa Kombe la Mazingira uliofanyika uwanja wa Mao, timu ya Uvuvi imeshinda 3-2
No comments:
Post a Comment