Habari za Punde

ZEC waandaa Semina ya wadau wa Uchaguzi


MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR, ZEC, SALMIN SENGA, AKIFUNGUWA SEMINA YA WADAU WA UCHAGUZI HUKO KATIKA WADI YA NG'OMBENI MKOANI PEMBA.

MWANASHERIA WA TUME YA UCHAGUZI ZEC, KHAMIS ISSA KHAMIS, AKIWASILISHA MADA KWA WADAU WA UCHAGUZI WA WADI YA NG'OMBENI MKOANI PEMBA.
AFISA HABARI WA ZEC, IDRISA HAJI JECHA,AKITOWA MADA KWA WADAU WA UCHAGUZI WADI YA NG'OMBENI KUFUATIA UCHAGUZI MDOGO WA WADI HIYO.
PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.