WADAU WA UCHAGUZI KATIKA WADI YA NG'OMBENI MKOANI PEMBA WAKIMSKILIZA MKURUGENZI WA UCHAGUZI ZEC, SALIM KASSIM HAYUPO PICHANI.
MWENYEKITI WA TUME YA UCHAGUZI ZEC, SALMIN SENGA,AKIZUNGUMZA NA WADAU WA UCHAGUZI KATIKA WADI YA NG'OMBENI -MKOANI PEMBA
MWANASHERIA WA TUME ZEC, KHAMIS ISSA , AKITOWA MADA KWA WADAU WA UCHAGUZI WADI YA NG'OMBENI MKOANI PEMBA
MJUMBE WA TUME YA UCHAGUZI ZEC,AYOUB BAKAR HAMAD , AKIFUNGA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WADAU WA UCHAGUZI WADI YA NG'OMBENI MKOANI-PEMBA.
PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.
No comments:
Post a Comment