Baadhi ya wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi
CCM,waliohudhuria katika uzinduzi wa Maskani wa Msuguri ya Nungwi,
Wilaya ya Kaskazini A,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha
Mapinduzi katika Mkoa wa kaskazini Unguja
Kikundi cha wasanii cha ngoma ya Mchikicho cha Nungwi
wakiburudisha katika mkutano wa wanachama na wananchi na wapenzi wa
Chama cha Mapinduzi uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
katika Mkoa wa kaskazini Unguja
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia
kuweka jiwe la msingi maskani ya Amani na Utulivu ya Nungwi Wilaya ya
Kasakazini A Unguja leo,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha
Mapinduzi
Mwanachama wa CUF aliyejitoa katika chama hicho Machu
Kombo Ali,alipokuwa akitoa ushuhuda wake mbele ya umati wa Wana
CCM,katika mkutano ulihutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa
Kaskazini Unguja leo
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi
kadi Mwnachama mpya wa CCM Ali Makame Haji,katika mkutano wa wananchi
na wanachama wa CCM wa Nugwi Wilaya ya Kaskazini A Unguja,katika ziara
ya kuimarisha Chama leo
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM Jimbo la
Nungwi, katika ziara ya kuimarisha Chama leo. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment