Habari za Punde

Jaji MShibe afanya mazungumzo na Polisi, Masheha na Wananchi wilaya ya Micheweni


Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, Jaji Mshibe Ali Mbarouk, akizungumza na Polisi, Masheha na wananchi wa Wilaya ya Micheweni Pemba, (ambao hawapo pichani) juu ya umuhimu kutiliana mikataba wakati wanapouziana vitu vya aina yoyote ile

 Sheha wa shehia ya Micheweni Mjini Dawa Juma Mshindo, akizungumza jambo, mbele ya mwenyekiti wa Tume kurekebisha Sheria Jaji Mshibe Ali Mbarouk, huko Micheweni Pemba. juu ya umuhimu kutiliana mikataba wakati wanapouziana vitu vya aina yoyote ile.
 
 
 (Picha zote na Abdi Suleiman, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.