Waziri wa Biashara wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Nassor Ahmed Mazrui,akifunguwa mkutano kwa Wakulima wa Karafuu Mkoa wa Kaskazini Pemba,
Wakulima wa Karafuu mkoa wa Kaskazini pema wakimsikiliza Waziri wa Biashara Nassor Ahmed Mazrui,akifunguwa mkutano kwa Wakulima hao hukoJamhuri hall Wete.
Picha na Bakari Mussa, Pemba
No comments:
Post a Comment