Habari za Punde

Kupata Habari Magazetini.

Wananchi wakifuatilia kusoma vichwa vya habari kupitia magazeti mbalimbali katika moja ya kituo cha kuuziamagazeti malindi, Ikiwa wakati huu magazeti mengi yamechapisha rasimu ya Katiba ya Tanzania.Watu wengi husoma vichwa vya habari za magazeti na kuona lipi linalomvutia na kununua kwa ajili ya kujisomea zaidi habari ziliomo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.