Mambo ya matangazo ya kuvutia wateja wa kama inovyosomeka tangazo hilo likiwa katika geti ya duka ya nyama magomeni Zenj.
PPAA yatoa elimu matumizi ya Moduli Wiki ya Utumishi wa Umma
-
Na Mwandishi wetu, Dodoma
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imeshiriki maadhimisho ya
kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma, yanayojumuisha Wi...
45 minutes ago
Kwanini Wasiweke Matangazo Kwenye Bao Zuri tu ambalo litakua ktk ya Duka . Badala yakuuchora Mlango wa Duka nakuonekana kama umechorwa na Vandarlise..
ReplyDeleteNaona uchafu Mtupu kwenye mlango huo hata mtu anaweza kutapika kabla hajaingia ndani ya Burchar.
Hebu jamani tuigeni mambo mema na mazuri.Kuna watyu wengi wamekaa Uturuki, Arabuni, na EU countries wanajua ni jinsi gani unaweza kutanganza bishara hiyo na watu wakautiwa na Tangazo hilo kabla yakununua hiyo nyama wenyewe.
Tukumbuke Visiwa vyetu ni vya Kitalii hivyo tunavouza vitu tutangaze kwa standard inayokubalika. Baraza la Mji hivyo kazi yake ni nini? Si nikuwakosoa hao wanaochafua kuta naMilango?
Mara moja nilisema kwa nini yasitumike mabango ya ki digital ambayo ni rahisi kwai ni computerised unaweza kusanifu utakavyo.Niliona bango la duka la kubadilisha pesa karibu nitapike.Ngoja nije na huu mradi kutoka UK
ReplyDelete