Habari za Punde

Sherehe za Mahafali ya Chuo cha Kiislam Mazizinin Zanzibar.

 Mkurugenzi Masoko wa Kampunin ya Simu ya ZANTEL Mohammed Baucha akiwahutubia Wahitimu wa Chuo cha Kiislam wakati wa maadhimisho ya Mahafali ya 11 yaliofanyika katika viwanja vya Chuo hicho huko Mazizini Zanzibar nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.  
 Mkuu wa Chuo cha Kiislam Zanzibar Dk. Muhidin akihutubia wakati wa mahafali hayo ya 11ya Chuo cha Kiislam Zanzibar ikiwa ni sherehe za maadhimisho hayo yaliofanyika katika viwanja vya Chuo hicho Mazizini.




 Hariapa happpp futa kama kamba tushinde ndivyo inavyoonekana Mwalimu huyu akitowa maelekezo kwa wanafunzi wake.
 Mkurugenzi Masoko wa ZANTEL Zanzibar Mohammed Baucha akisalimiana na Wanafunzi walioshiriki mashindano ya kuvuta kamba katika sherehe za mahafali ya 11 ya Chuo hicho yalioyofanyika katika viwanja vya Chuo hicho Mazizini.Zanzibar.
 Mwanafunzi akitowa alama za ishara kwa Wanachi walio na Ulemavu wa kutosikia .
Wanafunzi wa Chuo cha Kiislam Zanzibar wakionesha mchezo wa kuingiza wenye ujumbe wa kuzingatia Elimu, wakati wa sherehe za Mahafal ya 11 ya Chuo hicho yaliofanyika katika viwanja vya Chuo hicho huko Mazizini 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.