Habari za Punde

Kuna mdau alitaka kuiona nyumba aliyokabidhiwa Mzee Hamad Saleh Khatib


Nyumba aliokabidh​iwa mzee Hamad Saleh Khatib, na ZSTC ambayo alijengewa kwa kutowa kiwanja na sehemu ya Nyumba yake kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha ununuzi Karafuu huko Uondwe

Hii ndiyo nyumba yake ya zamani
 
Picha na Bakar Mussa

2 comments:

  1. iko poa tu at least mzee wetu atapumzika vizuri

    ReplyDelete
  2. Kaka ahsante sana, kwa kuzingatia maoni ya wadau
    kazi njema!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.