Habari za Punde

Maelekezo kwa Wateja wa Samaki Maisara Kizingo.

Wafanya biashara ya samaki katika eneo la Maisara Kizingo wakitowa maelekezo ya wateja wao wapi wako baada ya kukubali amri ya manispa ya Zanzibar kuondoka eneo hilo ambalo haliruhusiwi kufanya biashara kutokana na kuweka mazingira mazuri eneo hilo.


1 comment:

  1. he he he..Zanzinews kiboko ya stress bwana wee...Hongera Mapara hilo bango limenichekesha kweli kweli ni comedy ya aina, hata mimi nikilisoma linaniacha hoi sijui mtalii akitafsiriwa litamchanganya kinoma.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.