Mhe.Majaliwa Ameagiza Usimamiaji na Udhibiti wa Ubora wa Elimu
-
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya
Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro(MUM), alipomwakilisha Rais Dkt. Samia
Sul...
20 minutes ago
Ahsante kaka Othman Mapara kwakutuletea picha za nyumbani. Angalau Bandari ya Zanzibar sasa inaonekana kukubalika International.. Baada ya muda Mrefu SMZ kutafuna Pesa. Kwasababu ya Uongozi Mbovu wa Watu waliokuwepo Bandarini.
ReplyDeleteNi nani mjenmzi wa Port hii ?
Azam Marine, Bahrasa, Au SMZ Miundo mbinu?
Who ever will be.. I say congritulation.. now things look a bit better and I am feeling proud about them.
Its a time Zanzibar to have a good & transparency peoples who will invest the Islands for the benefits of our future children. Hata hivo Nampongeza Waziri aliejiuzulu na waziri alieko sasa kwani hizi ni Project zilizoanzwa baada ya GNU kuanza kazi ( Yaani CUF) kua ndani ya Serikali.
CCM hwakua nayo hayo maana hawana Elimu wala ujuzi wa kazi. Na ha waliokua na Elimu walikua hawajali kwasababu waliona Wanawatawala MBUZI...
wEWE NDUGU YETU WAAJABU KIASI GANI? TANGU LINI HAWA WAHADIM WETU WAKAFANYA JAMBO ZURI, WAKE SHA KABIZIWA PITA MIEZI SITA UONE, WATOVYO UWAKILA KITU UZUSIMILA WALA DESTURI HAPA ZANZIBAR
ReplyDeleteDalili zinaonesha bora watu binafsi wanaweza kuifikisha Zenj kwenye maendeleo.
ReplyDeleteKijiwe wahadim wenu? Kauli hii nahisi si ja kiungwana muislam mwenzangu
ReplyDeleteWahadim,situsi, wapo nalahaja ya kihadim ipo, sasa kama huipendi basi, usiuingize uislam, hawa hawana dasturi ya kupenda vizuri, kwa waokufuja na kula mali za serekali ya smz
ReplyDeleteSijaingiza uislam nimekuita muislam.Kwa hiyo hutaki kuitwa muislam basi ninarekebisha binaadam mwenzangu.lakini usifanya falacy ya generalization.Halafu mimi sikujua Kama serekali inaongozwa na wahadimu tu. Halafu hizo desturi zao umezifanyia utafiti ?
ReplyDeleteKipofu anajua ubazirfu unao fanya na serekali ya mapinduzi, hilo halitaki utafiti, kazi zao kufuja pesa za walipa kodi na kuoa mabesari wakimanga, na magari mazuri, hawastaf, utasika kateuliwa bodi hihi au, ile, vijana wafanye kazi gani? tangu mapinduzi haohotu....wahadi na asp na muaamsho kulindanatu
ReplyDelete