Habari za Punde

Mkutano wa CUF Kibanda Maiti

 Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya kibanda maiti leo. 1-6-2013. 

 Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Hamad Masoud , akihutubia kabla ya kumkaribisha Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif, kuhutubia katika mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya Kibandamaiti Zenj.
 Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jussa akihutubia katika mkutano huo, uliofanyika katika viwanja vya Kibanda maiti na kuhutubiwa na Katibu Mkuu wa CUF.
 Mwalikwa Eddy Riami akihutubia katika mkutano huo katika viiwanja vya kibanda maiti.
 Viongozi wa CUF na Wawakilishi wakifuatilia hutuba ya Katibu Mkuu Maalim Seif Sharif, katika viwanja vya Kibandamaiti.
 Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vyuo Vikuu Tamzania Bakari Omar, akihutubia katika mkutano huo alikuwa mwalikwa kwa Nafasi yake kwa Wanafunzi wa Vyo Vikuu. 
 Mambo ya Mcharuko kwa Vijana wa CUF wakati wa mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya Kibanda maiti
Wanachama wa CUF wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CUF akihutubia katika Mkutano huo katika viwanja vya Kibanda maiti Zenj.
 Mkuu wa Kitengo cha Haki za Binaadamu cha CUF Salim Bimani akitowa maelezo katika mkutano huo.
 Wasanii wa muziki wa  Kizazi kipya wakitowa burudani katika viwanja vya kibanda maiti katika mkutano wa CUF.
 Mambo pembe la Ngombe hayoooooooo.

4 comments:

  1. so what?....... tulidhani utatuhabarisha kilichozungumzwa kumbe unatuwekea picha tu..... nyinyi kama hamuwezi kutueleza kinachozungumzwa basi kuweni kama hizo blogs za bongo tu yaani kaeni kimyaaa.

    ReplyDelete
  2. Asante mapara kwa kutuwekea picha tunathamini jitihada zako, usijali kuna watu kazi yao kulaumu tu kama mtoa maoni wa mwanzo, Mungu akupe uzima uzidi kutuletea matukio ya nyumbani.

    ReplyDelete
  3. Huyu Rayami si yule aliyemteka SALIM MSABAH?

    ReplyDelete
  4. Blogs zinafanya biashara, kama mnataka taarifa kwa ukamilifu kutaneni na mhusika muachie mshiko kisha ataweka mambo yote hadharani

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.