Katibu wa Chama cha Wagonjwa wa Sukari Zanzibar Ali Zuberi, akizungumza makusudio ya Mkutano Mkuu wa Dharura kwa Wanachama wa Chama hicho kuhusiana na matumizi ya Dawa mpya ya Wagonjwa wa Sukari Zanzibar, ambazo wakati wa matumizi yake huwaletea matatizo.kushoto Mwenyekiti wa Chama hicho Said Othman.mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Skuli ya Haeli Salasi.
Wanachama wakiwa makini kufuatilia mkutano huo.
Wanachama wa Chama cha Wagonjwa wa Sukari Zanzibar wakimsikiliza Katibu wa Chama hicho akizungumza katika mkutano huo, kuhusu matumizi ya Dawa za Wagonjwa wa Sukari Zanzibar, ambazo wanadai kuwa zimeletwa kwa majaribio. na baadhi yao kudai kuwa dawa hizo zinawaletea matatizo wanapozitumia. kwa hiyo wamesitisha matumizi yake. kwao.
No comments:
Post a Comment