WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI WAKARIBISHWA MTWARA
-
📍Mtwara
WAWEKEZAJI katika Sekta ya Madini wamekaribishwa kuwekezwa katika mkoa wa
Mtwara kutokana na uwepo wa madini ya aina mbalimbali yakiwemo madi...
46 minutes ago
Hivi kweli hawa jamaa wameendelea na ujenzi wa kiwanja cha watoto pale KARIAKOO?
ReplyDeleteKutokana na uchache wa maeneo ya wazi ktk mji wa Z'bar, tukitarajia eneo lile injengwe stendi kuu ya magari.
Jambo hili lingesaidia sana kutanua mji, biashara na kurahisisha usafiri kwa vile eneo hii limekatwa na barabara zote muhimu za kwenda mashamba!
Naamini eneo la barabara ya miembeni kuelekea kilimani lingesheheni maduka na kulifanya eneo la standi ya zamani ya mabasi na posta kukhuika...leo hii jengo kubwa kama la posta limekaa bure hakuna hata anaetaka kukodi na kufanyia biashara kwa vile pale pako nyuma!
Katika zama hizi za biashara huria serikali haiilazimiki tena kukopa au kuomba misaada kwa kujenga viwanja vya watoto!
Wanaloweza kufanya ni kutenga maeneo na kushawishi wawekezaji wa ndani ili wawekeze!
Kitendo cha kuridia kujenga kiwanja cha watoto pale... ni mawazo ya KIUWAMSHO..!!
Anonymous 1,
ReplyDeleteMawazo yako ni mazuri sana lakini napingana na hili la mwisho unaposema kwamba "....Kitendo cha kuridia kujenga kiwanja cha watoto pale... ni mawazo ya KIUWAMSHO..!!
Kwani Uamsho wana mawazo mabaya ya Kimaendeleo? Anyway your idea are very good interms of bussiness development; this place does not need Children Amusment Park anymore. It need to be a car parking area or a shorping centre.
Lakini tukumbuke na watoto no wana sehemu yao tusiwadharau tukaanza kuwapevusha. Nilazima kutafutwe njia mbadala zakuwatengenezea sehemu za kuchezea, kutembea hasa wakti wa siku kuu. Huo ndio utamaduni wetu na ni moja katika culture zetu. Watoto wanapoona viwanja vya sikuu ndio hupenda mwezi wa Ramadhani ufike. Na kufika kwa Ramadhani inamaana unatakiwa ufunge. That i call religion & culture identity.
Eneo lile la Maisara na Mnazi mmoja lingetengenezwa vizuri nakuwekewa watoto wakati wa Skukuu na wakati wakawaida likawa ni viwanja vya Mazoezi ya Mpira n.k kama ilivokua hapo zamani.
Unguja kulikua na maeneo mengi sana ya wazi kama kule sehemu za Ngambo Sebleni, Amani, magomeni na hata mwanakwerekwe kulikua na sehemu nyingi sana zina mipera. Serikali na Idara ya Mazingira ndio ilioharibu Nchi yetu kwakuuza viwanja ovyo ovyo.