Habari za Punde

Vikundi vya Ushirika Pemba vyapatiwa vifaa vya kazi


Afisa Mdhamini Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendelo ya Vijana Wanawake na Watoto Pemba, Mauwa Makame Rajab, (mwenye shungi) akimkabidhi Bero mwanachama wa kikundi cha Jitihada Cooperative Society cha Wingwi, Issa Othman Omar, kinacho jishuhulisha na ukulima wa mboga mboga. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
 
Afisa Mdhamini Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendelo ya Vijana Wanawake na Watoto Pemba, Mauwa Makame Rajab (kulia) akiwakabidhi Mashine ya Kusukumia maji na Pampu ya maji,  kwa wanachama wa kikundi cha Jendele Cooperative Society cha kizimbani Wete, kinachojishughulisha na ukulima wa Mboga mboga. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.