Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Bajeti ya Serekali inayotarajiwa kuwasilishwa katika Kikao cha Baraza la Wawakilishi katikati ya wiki hii 12-6-2013.mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga.mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano wa Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee kuhusiana na Bajeti ya Serikali atakayoiwasilisha katika Baraza la Wawakilishi siku ya Jumatano 12/06/2013, mkutano uliofanyika Ofisini kwake Vuga mjini Zanzibar.
Mh,ingekuwa vizuri etowa ufafanuzi wa bajeti ilopita vimefanikiwa kwa kiasigani, haliyamambo, hapa zbar, hayendi viziri ka bisa bara awamu ya6 kilikohuu umoja wakitaifa ziki kwenda mbele,uchumi na mipango ndio hii......
ReplyDeleteMh: Waziri mwenyedhamana ya Mshiko/shilingi/fedha/mapesa/uchumi na mipango ya maendeleo ya Zanzibar HONGERA kwa kazi nzuri sana. Hoja yangu iko kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo, ni vizuri na pengine kwasababu nyingi tukapata wageni wa nje ya hata Tanzania kwa ajili ya kuja kusimamia utekelezaji wa Miradi hiyo, lakini kwanini Wizara inashindwa kufuatilia maadili ya wasimamizi wa miradi hiyo? kuna malalamiko mengi sana kwa wale supporters wazalendo kuwa hawatendewi haki wala hawazingatiwi ethics zao kiasi kwamba inafika wakati................................ Naomba muwe munaangalia historia za hao wasimamizi wa hiyo miradi kwasababu Kampuni wao huajiri wataalum tu yawezekana kwa njia moja au nyengine mtaalam huyo anamashaka Fulani.................Wizara wasaidieni vibarua wa hiyo miradi wanateseka sana
ReplyDelete