Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Wafuasi wa CUF wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, katika mkutano uliofanyika Matemwe
Mwakilishi wa jimbo la Mji Mkongwe, Ismail Jussa Ladhu akizungumza na wafuasi wa CUF katika mkutano uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akionesha kadi miongoni mwa kadi za CCM zilizorejeshwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Naibu Katibu Mkuu wa CUF Hamad Massoud Hamad, akizungumza na wafuasi wa CUF katika mkutano uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja. (picha na Salmin Said, OMKR)
RAIS SAMIA ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMBUKIZI YA HAYATI BABA WA TAIFA
MWALIMU JULIUS NYERERE
-
PICHA ZA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu
Hassan leo October 14,2024 ameshiriki ibada...
1 hour ago
Tuambie nini kasema Maalim
ReplyDeleteMaalim,hanajipwa anasutana na chama chake, bara wanataka 3 yeya anataka nkataba, haeleweki ,hawa Cuf,hawaeleweki, huku Zbar wenzao tanganyika,washema rasim nzuri, wao akilli zao zimechukuliwa na muamsho sasa acheni kudanganywa na huyu maalim anatembelea ving'ora nyinyi mnapigwa najua
ReplyDeleteLazma tukubali, Maalim ni 'Charismatic leader' ana uwezo wa kushawishi watu kukubali hata lile ambalo si la kweli na watu wakaamini.
ReplyDeleteKwakweli maalim ktk hili ameyumba kidogo lkn. ndio hivyo tena 'mkubwa hakosei'
Lakini kuhusu suala la serikali 3 Maalim lazma awe makini, akiteleza W'bari mara hii hawatamsamehe.
Akumbuke, maslahi ya W'bari hayapo Z'bar, tu bali pia Tza Bara, wazenj wengi ni wafanya biashara na soko kubwa ni Bara, mambo ya ushabik na chuki zisizo msingi za UWAMSHO lazma aziepuke.