Habari za Punde

Ziara ya Rais wa Zanzibar Dk. Shein Nchini China

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DkAli Mohamed Shein,na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Manispaa ya Mji wa Xiamen nchini china Liu Keqing, na viongozi wengine wa Mji huo,baada ya mazungumzo yao katika ukumbi wa  Concert Hall,alipoandaliwa Chakula  cha Jioni , akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa katika chakula cha Jioni na ujumbe wake walichoandaliwa na Meya wa Mji wa Xiamen  Liu Keqing, baada ya mazungumzo yao katika ukumbi wa mikutano wa  Concent Hall, akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuangalia mpiga Ganon Joice Zhang,wakati alipotembelea Nyumba ya Makumbusho ya Muziki  huo huko kisiwa cha Gulangyu Island,jana akiwa katika ziara ya Kiserikali nchini China na ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuangalia mpiga Ganon Joice Zhang,wakati alipotembelea Nyumba ya Makumbusho ya Muziki  huo huko kisiwa cha Gulangyu Island,jana akiwa katika ziara ya Kiserikali nchini China na ujumbe wake.[Picha na Ramadhan Othman,Xiamen China.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.