Mwenyekiti wa Bunge la Oman Bwana Khalid Bin Hilal Ali – Maawal akisifu uhusiano wa udugu uliopo kati ya Oman na Zanzibar wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balizo Seif Ali Iddi.
Mwenyekiti wa Bunge la Oman Bwana Khalid Bin Hilal Ali – Maawal akimkabidhi upanga ambao ni ishara ya utambulisho wa Oman Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati yeye na ujumbe wake walipokutana kwa mazungumzo hapo Vuga Mjini Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi zawadi ya Kasha Mwenyekiti wa Bunge la Oman Bwana Khalid Bin Hilal Ali – Maawal kama ishara ya upendo kati ya uhusiano uliopo wa pande hizo mbili.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika Picha ya pamoja na Ujumbe wa Bunge la Oman ulioongozwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo Bwana Bwana Khalid Bin Hilal Ali – Maawal mara ya kumaliza mazungumzo yao hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Kulia ya Balozi ni Mwenyekiti wa Bunge hilo Bwana Bwana Khalid Bin Hilal Ali – Maawal.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
No comments:
Post a Comment