Habari za Punde

Wawakilishi wapitisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi Na Makaazi Zanzibar.

 Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho akifafanua jambo wakati wa kupitisha Vifungu vya Matumizi vya Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Makaazi Zanzibar.kwa wajumbe wa baraza. 
 Wajumbi wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia michango ya Wajumbe wakichangia katika Vifungu vya Bajeti.
 Mwakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan, akitaka ufafanuzi wa matumizi ya kifunga cha matumizi ya Ardhi.wakati akitakakupata ufafanuzi huo.  
 Waziri wa Ardhi Maji Nishati na Makaazi Ramadhani Abdalla Shaban, akijibu baadhi ya hoja wakati wa kupitisha vifungu vya bajeti ya wizara yake.


 Waheshimiwa Wawakilishi wakifuatilia michango ya Wajumbe katika Kikao cha baraza la Wawakilishi



 Waziri wa Maji Nishati na Makaazi Zanzibar Ramadhani Abdalla Shaban, akipongezwa na Katibu Mkuu wake baada vishindo vya Wajumbev katika kuzuiya Vifungu vya bajeti ya Wizara yake na hatimai kupita kwa bajeti hiyo kwa mwaka 2013/2014. 
 Mwakilishi wa jimbo la Kwantipura Hamza Hassan, akisisitiza jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Makaazi Zanzibar Mustafa Aboud Jumbe, baada ya kuahirishwa kwa kikao cha baraza baada ya kupitisha bajeti ya Wizara ya Ardhi Maji Nishati na Makaazi.  
Wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi Maj Nishati na Makaazi Zanzibar wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara yao wakipongezana nje ya jeng. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.