Mambo safi kwa Watoto wa Kijiji cha Watoto Yatima cha SOS mombasa wakipata mlo wa futari walioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar na kujumuika na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akimuwakilisha Mama Mwanamwema Shein.
Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akijumuka na Watoto wa Kijiji cha SOS katika futari walioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar kwa Watoto hao iliofanyika katika Makaazi yao Mombasa il
Mke wa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar wakipata futari walioandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa ajili yao.
No comments:
Post a Comment