Wajumbe wakifuatilia michango ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Mwakilishi wa Rahaleo Nassor Salim Jazira na Mwakilishi wa Bububu Hussein Ibrahim Makungu. (BHAA).
Mwakilishi wa Muyuni Jaku Hashim akichangia Bajeti ya Wizara ya Kilimo Zanzibar wakati wa kupitisha Vifungu vya Matumizi vya Wizara hiyo.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wananchi na Ushirika Haroun Ali Suleiman, akitowa ufafanuzi kuhusu vikundi vya Ushirika wakati wa kupitisha Bajeti ya Wizara ya Kilimo.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho akitowa ufafanuzi kuhusu upitishaji wa Vifungu vya Matumiza vua Wizara ya Kilmo, wakati Baraza likikaa Kama Kamati kupitisha vifungu hivyo.
Huyu Bhaa alikuwa kastarehe Bwawani na Disco lake anatupigia hadi alfajir, kweli mahuluku taabu yaani kaamuwa kwenda kusinzia Barazani... hahahha
ReplyDeleteEh Bwana kweli! manake hapo hapana chochote kinachoendelea badala aya kuharibu pesa za walipa kodi!
ReplyDelete