Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dkt Shein akutana na Mabalozi Wapya wa Tanzania Ikulu Leo.

Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na mabalozi Wapya wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kwenda kufanya kazi Nchi za Nje,walipofika kumuaga Rais leo,mazungumzo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanziba
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na mabalozi Wapya wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kwenda kufanya kazi Nchi za Nje,walipofika kumuaga Rais Ikulu Zanzibar leo,na kufanya mazungumzo na Rais Shein.
Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamja na mabalozi Wapya wa Tanzania walioteuliwa hivi karibuni kwenda kufanya kazi Nchi za Nje,walipofika kumuaga Rais leo,mazungumzo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

3 comments:

  1. hata mfanye nini kujidai kuonyesha kuwa ddr sheni mnampa umuhimu , sisi muungano basiiiiiiii

    ReplyDelete
  2. Yupo Mzanzibari hapo?

    ReplyDelete
  3. Anaweza asiwepo lkn. si kwa uwonevu si kwa kukosa sifa.

    Kazi ya ubalozi mbali na elimu inahitaji pia muhusika kua na 'strong confidence and exposure' jambo ambalo wengi wetu hatuna.

    Najua watu watakataa lkn. ukweli unaonekana bungeni.. jamaa yangu pereira wenzake hufika kumuonea huruma!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.