Habari za Punde

Zadeo yafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na tuhuma za kutapeliwa mahujaji

01 02 Rais wa Jumuiya Kiislamu (ZADEO) Sheikh, Haji Ameir Haji, akitoa ufafanuzi juu ya tuhuma za kuwatapeli mahujaji, huko katika ukumbi wa watu wenye ulemavu Kikwajuni weles Mjini Zanzibar.
03Waandishi wa habari mbalimbali wakiandika habari kwa kina zilizotolewa na Sheikh, Haji Ameir Haji juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi yake, huko katika ukumbi wa watu wenye ulemavu Kikwajuni weles Mjini Zanzibar.
04Mwandishi wa habari, Yahya Saleh wa chuchu Fm akimuuliza suali Rais wa Jumuiya Kiislamu (ZADEO) Sheikh, Haji Ameir Haji, katika mkutano wake na waandishi wa habari, huko katika ukumbi wa watu wenye ulemavu Kikwajuni weles Mjini Zanzibar. 
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.